Mkopo huu hutolewa kwa kipindi kisichozidi miezi sita.
Mkopo huu hutolewa kwa kiasi kisichozidi MILIONI MOJA.
Riba ya mkopo huu ni Asilimia 3% kila mwezi.
Sifa za mwanachama kupata mkopo huu, Awe mwanachama hai mwenye Akiba na hisa.
Mkopo huu hutolewa ndani ya masaa 8